Oktoba / Oktober 2027

2022 huko Beucha

Ngome yetu imara ni Mungu wetu

Mwanamatengenezo Martin Luther hakuwa mwanatheolojia tu, bali pia mtunzi wa nyimbo. Nyimbo zake nyingi zinapatikana katika vitabu vya nyimbo vya Makanisa ya Kiinjili, na pia katika „Gotteslob", kitabu cha nyimbo cha Kanisa Katoliki la Roma, kuna baadhi yake.

Bado inajulikana sana, pamoja na wimbo wa Krismasi „Vom Himmel hoch, da komm ich her", ni wimbo wa Luther „Eine feste Burg ist unser Gott". Luther alihamasishwa na Zaburi ya 46 katika Biblia. Hapo unaimbiwa nguvu za Mungu na ulinzi anaotoa Mungu kwa watu wanaomwamini. Katika Zaburi hiyo yanafafanuliwa majanga makubwa zaidi ambayo binadamu wanaweza kuyafikiria.

 

2022 in Beucha

Eine feste Burg ist unser Gott

Der Reformator Martin Luther war nicht nur Theologe, sondern auch Liederdichter. Etliche seiner Lieder finden sich in den Gesangbüchern der Evangelischen Kirchen, und auch im „Gotteslob“, dem Gesangbuch der Römisch-Katholischen Kirche, gibt es welche.

Immer noch sehr bekannt ist, neben dem Weihnachtslied "Vom Himmel hoch, da komm ich her", Luthers Lied "Eine feste Burg ist unser Gott". Inspiriert wurde Luther durch Psalm 46 in der Bibel. Dort wird die Macht Gottes besungen und der Schutz, den Gott den Menschen bietet, die an ihn glauben. Im Psalm werden die größten Katastrophen beschrieben, die Menschen sich nur vorstellen können.

 

https://youtu.be/E969xwHA91E?si=QNZptwmwf7mki8-z