Njiani kutoka Boma Ngombe kuelekea Maji Moto.
Na tuangaliane sisi kwa sisi, ili tuhimizane sisi kwa sisi katika upendo na katika matendo mema, wala tusiuache mkutano wetu wenyewe, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane, na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.
(Waebrania 10:24-25)
Auf dem Weg von Boma Ngombe nach Maji Moto.
Und lasst uns aufeinander achtgeben, damit wir uns gegenseitig anspornen zur Liebe und zu guten Werken, indem wir unsere eigene Versammlung nicht verlassen, wie es einige zu tun pflegen, sondern einander ermahnen, und das umso mehr, als ihr den Tag herannahen seht!
(Hebräer 10,24-25)