Msafara wa wageni na wanaojitolea kutoka Tanzania mbele ya „Völkerschlachtdenkmal“ (Mnara wa Ukumbusho wa Vita vya Leipzig) mwezi Agosti 2026

„Völkerschlachtdenkmal“ (Mnara wa Ukumbusho wa Vita vya Mataifa) uliwekwa wakfu miaka 100 baada ya Vita vya Mataifa huko Leipzig. Unakumbushia ushindi mkubwa katika vita vya ukombozi dhidi ya majeshi ya Napoleon.

Katika Vita vya Mataifa huko Leipzig vilivyofanyika kuanzia tarehe 16 hadi 19 Oktoba 1813, askari wapatao 90.000 waliuawa. Hiyo ilikuwa karibu mara tatu ya idadi ya wakazi wa Leipzig wakati huo.

Leo unachukuliwa kuwa ukumbusho wa amani na upatanisho wa mataifa.


Besuchs-Delegation und Freiwillige aus Tansania vor dem Völkerschlachtdenkmal in Leipzig im August 2026.

Das Völkerschlachtdenkmal wurde 100 Jahre nach der Völkerschlacht bei Leipzig eingeweiht. Es erinnert an den maßgeblichen Sieg in den Befreiungskriegen gegen die Napoleonischen Truppen.

In der Völkerschlacht bei Leipzig vom 16. bis 19. Oktober 1813 kamen etwa 90.000 Soldaten um. Das war fast die dreifache Menge der Einwohner in Leipzig zur damaligen Zeit.

Heute gilt es als ein Mahnmal für Frieden und Völkerversöhnung.

 

https://youtu.be/U8sNhDyCdQ0?si=eRetm_wqzTB7CIIZ